Tuesday, December 20, 2005

Blogu Ziitwe Ngwanga?

3 Comments:

Blogger Ndesanjo Macha said...

Nimeona neno hili sawasawa sasa. tafsiri yake nini hasa?

December 21, 2005 9:30 AM  
Blogger Gatua wa Mbũgwa said...

Tuseme nyuki huenda kutafuta "nectar". Basi pahali hapo nyuki huenda panaweza kuitwa "kĩhũngĩro" kwa lugha ya Gĩgĩkũyũ. Pili, watu hukutana pahali ili wapashane habari za kwao ama za kwingineko. Pahali hapo wanapopashania habari panaweza kuitwa kĩhũngĩro tena. Nasi wanablogu tunaingia mtandaoni kukusanya na kupashana habari kutoka tovuti mbalimbali ama kutoka kwingineko. Hapo pahali tunapokusanyia na kupashania habari si panaweza kuitwa kĩhũngĩro? Basi nikaita blogu vile!

Kheri!

Gatua

December 21, 2005 9:07 PM  
Blogger Ndesanjo Macha said...

Nimependa chaguo hili maana kweli blogu hizi ni kama penye asali na asali hiyo ni tamu kweli...ndio asali ya uhuru wa kujieleza na kupashana habari bila vipingamizi. Kwenye kiswahili bado tunajadili hatujaamua.

December 27, 2005 5:18 PM  

Post a Comment

<< Home